IQNA

Kampeni ya "Muhammad SAW, Mtume wa Walimwengu" yazinduliwa Brazil

TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Brazil imezindua kampeni yenye anuani ya "Muhammad SAW, Mtume wa Walimwengu" kwa lengo la kumuarifisha Mtume...

Kongamano kwa munasaba wa Maulid ya Mtume SAW nchini Tunisia

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Masuala ya Kidini ya Tunisia imeandaa kongamano kuhusu Seerah ya Mtume Muhammad SAW.

Nchi 100 kushiriki katika Kongamano la 32 la Umoja wa Kiislamu nchini Iran

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madehehbu za Kiislamu amesema wanazuoni, wanaharakati wa kisiasa na wasomi kutoka nchi...

Hamas: Mapambano ya Palestina yamevuruga mahesabu ya adui Mzayuni

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: Mapambano (muqawama) ya Palestina yamevuruga mahesabu...
Habari Maalumu
China yapuuza malalmiko na kuendelea kuwakandamiza Waislamu

China yapuuza malalmiko na kuendelea kuwakandamiza Waislamu

TEHRAN (IQNA) – Utawala wa China unaendelea kupuuza malalamiko ya dunia kuhusu kuendelea kuteswa Waislamu waliowachache nchini humo.
13 Nov 2018, 14:44
Jeshi la Israel laua shahidi Wapalestina 7, wanamapambano watoa jibu

Jeshi la Israel laua shahidi Wapalestina 7, wanamapambano watoa jibu

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewapiga risasi na kuwaua shahidi wapigania ukombozi kadhaa wa Palestina akiwemo kamanda mmoja...
12 Nov 2018, 21:43
Maafisa wa polisi wa kike Trinidad na Tobago washinda haki ya kuvaa Hijabu

Maafisa wa polisi wa kike Trinidad na Tobago washinda haki ya kuvaa Hijabu

TEHRAN (IQNA) - Mahakama Kuu ya Trinidad na Tobago imetoa hukumu ya kuwaruhusu kuvaa Hijabu maafisa wa polisi wa kike ambao ni Waislamu.
11 Nov 2018, 20:53
Mfuko wa Kiislamu wa mafao ya uzeeni wazinduliwa Kenya

Mfuko wa Kiislamu wa mafao ya uzeeni wazinduliwa Kenya

TEHRAN (IQNA)- Mfuko mkubwa zaidi wa Kiislamu wa mafao ya uzeeni umezinduliwa nchini Kenya na kupewa jina la Salih.
10 Nov 2018, 17:28
Indhari ya AI kuhusu mpango wa Saudia kuwanyonga WaislamuMashia

Indhari ya AI kuhusu mpango wa Saudia kuwanyonga WaislamuMashia

TEHRAN (IQNA)- Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetahadharisha kuhusu mpango wa utawala wa Saudi Arabia kuwanyonga wafungwa...
09 Nov 2018, 11:33
Wayemen milioni 14 wanakabiliwa na njaa kutokana na hujuma ya Saudia

Wayemen milioni 14 wanakabiliwa na njaa kutokana na hujuma ya Saudia

TEHRAN (IQNA) -Zaidi ya nusu ya Wayemen, takribani watu milioni 14, wanakabiliwa na baada la njaa kutokana na hujuma ya kijeshi inayoongozwa na Saudia...
08 Nov 2018, 11:20
Waislamu wakumbuka siku alipofariki dunia Mtume Muhammad SAW

Waislamu wakumbuka siku alipofariki dunia Mtume Muhammad SAW

TEHRAN (IQNA) - Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad al Mustafa SAW aliaga dunia tarehe 28 Safar mwaka wa 11 Hijiria katika mji mtakatifu wa Madina...
07 Nov 2018, 10:24
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yaanza UAE

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yaanza UAE

TEHRAN (IQNA)- Awamu ya tatu ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu...
05 Nov 2018, 21:38
Kuwait kutoa mafunzo ya Qur'ani kupitia intaneti kwa lugha kadhaa

Kuwait kutoa mafunzo ya Qur'ani kupitia intaneti kwa lugha kadhaa

TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Kutoa Kutoa Mafunzo ya Qur'ani Kupitia Intaneti nchini Kuwait imetangaza kuwa itaandama mafunzo zaidi ya Qur'ani kwa lugha mbali...
04 Nov 2018, 13:06
Wanafunzi wa Chuo cha Kuhifadhi Qur'ani wahitimu Idlib, Syria

Wanafunzi wa Chuo cha Kuhifadhi Qur'ani wahitimu Idlib, Syria

TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi wa Chuo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu cha Idlib, Syria wamehitimu katika sherehe ambayo iliashiria kurejea hali ya kawaida katika...
01 Nov 2018, 15:09
Picha